Froggy Jumps MAAMKUZIOnline version Salamu na Matumizi yake by Ariro Odero 1 Dunella aliposalimiwa, "Chewa!" angejubu vipi? a Aheri b Vyema c Chewa! 2 "Subalkheri" ni salamu za .......................... a Wadogo kwa wakubwa b Asubuhi c Jioni 3 Jibu la salamu, "Je, la utu?" ni ...................... a Sina utu b Sina neno c Salama 4 "Habari za jioni" hujibiwa ...................... a Vyema b Njema c Mzuri 5 Mtu anapoagana na mwenzake, "Alamsiki!" Jibu huwa ...................... a Buriani dawa b Inshalla c Binuru